Msaada: Mabasi na nyumba nzuri ya kushukia Mpwapwa Dodoma

Mmenikumbusha nilifanya zamani kidogo field ifad kuna mradi ulikuwa unaitwa rural financial service program, tulipiga sana misele kukagua saccos pote mpwampwa tukatokea zetu kibakwe, mtera mpaka Dom town ilikuwa so amazing
 
Nilienda huko zamani sana miaka ya 85 mpka 90 nikapanda basi linaitwa Super Star ila lilikuwepo pia Safari Master. Sijui kama bado yapo. Unatoka Dar asubuhi unaingia Mpwapwa jioni. Nilikuwa nafikia guest moja ya mchaga jina limenitoka iko karibu na nyumba za national. Kuna raha zake fulani hivi Mpwapwa.
 
Mkuu hayo yalishakufa... Na mpwapwa pia imebadirika!
 
Ndugu ofc za IFAD zipo wap kwa mikoani au hata dar
Mmenikumbusha nilifanya zamani kidogo field ifad kuna mradi ulikuwa unaitwa rural financial service program, tulipiga sana misele kukagua saccos pote mpwampwa tukatokea zetu kibakwe, mtera mpaka Dom town ilikuwa so amazing
 
Umenikumbusha mwanakianga hotel ya hafunsi na zile bar zinazotazamana na mto pia ilolo dah miaka hiyoooo pia nishawahi kumlala mwanamke kwenye mapori ya chuo cha ualimu mpwpw enzi hizo wanachuo walikuwa wazee wazee sijui kwa sasa pakoje ila mpwpw palikuwa pabaya pana vumbi pamepauka yani shida tupu
 
Nilijua tu huu uzi lazima hautaisha bila kutajwa ngono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,

Siku siyo nyingi nitakuwa na safari ya kuelekea Mpwapwa,Dodoma.Naomba kufahamishwa nyumba nzuri ya kushukia, inaweza kuwa hotel au guest houses, naomba kufahamu na rates au gharama zake pia zipo vipi.

Vilevile naomba kujuzwa usafiri wa bus gani zuri na bei zake kwa safari hii ya Mpwapwa maana natokea Jijini Dar.

Natanguliza shukrani!
Jobs nadhani unaweza kutusaidia katika hili maana wewe ni wa huko. Tupe jibu zuri kabla hujakutana na profesa wiki ijayo.
Udile chichi?
 
Back
Top Bottom