Jahlex
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 512
- 604
Mkuu Mimi Kwetu Mji Mpya Kuelekea Ilolo,karibu PiaSana. Karibu kijiji cha TAMBI!
Mkuu Mimi Kwetu Mji Mpya Kuelekea Ilolo,karibu PiaSana. Karibu kijiji cha TAMBI!
Aaah. Aaah. Aaaah. Weee wa nyumbani kabisa JamaaMkuu Mimi Kwetu Mji Mpya Kuelekea Ilolo,karibu Pia
Mji mpya napafahamu pametulia sanaMkuu Mimi Kwetu Mji Mpya Kuelekea Ilolo,karibu Pia
Mkuu hayo yalishakufa... Na mpwapwa pia imebadirika!Nilienda huko zamani sana miaka ya 85 mpka 90 nikapanda basi linaitwa Super Star ila lilikuwepo pia Safari Master. Sijui kama bado yapo. Unatoka Dar asubuhi unaingia Mpwapwa jioni. Nilikuwa nafikia guest moja ya mchaga jina limenitoka iko karibu na nyumba za national. Kuna raha zake fulani hivi Mpwapwa.
Hahahah sio mbukwa=mbukwenyi wataitikia ...mbukwaa!ukifika mpwapwa usisahau kusalimia (mbukwa,,,,
mbeka muwaha,nakujua kote huko mima,kibakwe,wota n.k mi mwenyeji sana sema tumelowea nchi za watu huku.Aaah. Aaah. Aaaah. Weee wa nyumbani kabisa Jamaa
Daaah, kweli aisee. Poa poa.mbeka muwaha,nakujua kote huko mima,kibakwe,wota n.k mi mwenyeji sana sema tumelowea nchi za watu huku.
Mmenikumbusha nilifanya zamani kidogo field ifad kuna mradi ulikuwa unaitwa rural financial service program, tulipiga sana misele kukagua saccos pote mpwampwa tukatokea zetu kibakwe, mtera mpaka Dom town ilikuwa so amazing
Nilijua tu huu uzi lazima hautaisha bila kutajwa ngonoUmenikumbusha mwanakianga hotel ya hafunsi na zile bar zinazotazamana na mto pia ilolo dah miaka hiyoooo pia nishawahi kumlala mwanamke kwenye mapori ya chuo cha ualimu mpwpw enzi hizo wanachuo walikuwa wazee wazee sijui kwa sasa pakoje ila mpwpw palikuwa pabaya pana vumbi pamepauka yani shida tupu
Mhhh mpaka chunyu kuna mwanajf Siamini jinsi kulivyo kubaya ni mibuyu tuNjoo chunyu hapa
ila hakuna lodge wala mgahawa😂
Jobs nadhani unaweza kutusaidia katika hili maana wewe ni wa huko. Tupe jibu zuri kabla hujakutana na profesa wiki ijayo.Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,
Siku siyo nyingi nitakuwa na safari ya kuelekea Mpwapwa,Dodoma.Naomba kufahamishwa nyumba nzuri ya kushukia, inaweza kuwa hotel au guest houses, naomba kufahamu na rates au gharama zake pia zipo vipi.
Vilevile naomba kujuzwa usafiri wa bus gani zuri na bei zake kwa safari hii ya Mpwapwa maana natokea Jijini Dar.
Natanguliza shukrani!