kapompogoro
Member
- Apr 29, 2015
- 83
- 37
Naomba msaada . Leo wakati niko nyumbani nikachukua laptop nikawasha kawaida baadae mama watoto akaniletea bwana Mdogo nimsikie gafra dogo kapiga keyboard kwa kiganja soon desktop ikawa upside down maandishi yote yakaangalia Juu . natumia window 8. Msaada jamani