Msaada: Maandishi haya kwenye simu yangu siyaelewi

Msaada: Maandishi haya kwenye simu yangu siyaelewi

bigest

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
340
Reaction score
166
Kama nlivyoomba hapo juu simu yangu nikizima na kuwasha kuna maneno haya hapo chini yanamaanisha nini?


It is detected that SIM card does not match the carrier supported by the phone, and the services may be restricted.It is suggested to change to a china Mobile 4G card.
 
mkuu simu yako ni ya china mobile, wao wanatumia bands tofauti na za kwetu hivyo hapo wamedetect line ambayo sio ya china mobile hivyo wanakwambia utumie line yao ili uweze ku enjoy vyote 2G, 3G na 4G.
 
Back
Top Bottom