Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Inatakiwa ikubali sehemu zote hizi.M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.
Asante mkuu. Naomba nirejee kufanya malipo alaf nitaweka screenshots kama ikikataa.Inatakiwa ikubali sehemu zote hizi.
Nadhani kutakuwa na makosa katika kunakili tarakimu husika.
Hakiki.
wanakurudishia ujumbe gani kama vp screenshot tuone
haiwezi kukubali, labda ujaribu kuweka hela si chini ya 10000Hello Tech. guys.
Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.
Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.
Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida.
Nimewapigia voda wanasema kama haitaki nisitumie tu niendelee na visa card ya benki.
Regards.
ndugu mimi nimefanya manunuzi mara nyingi mpaka juzi nimefanya tatizo toka jana na leo imegoma kabisa.. sijajua ni tatizo la VODA au vip....Hello Tech. guys.
Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.
Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.
Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida.
Nimewapigia voda wanasema kama haitaki nisitumie tu niendelee na visa card ya benki.
Regards.
ni kweli mkuu kwenye paypal inagoma mi nimejaribu kulink paypal na mpesacard mara 10. pay pal wakituma code sipatiwi kwenye mpesa messages zangu.Inatakiwa ikubali sehemu zote hizi.
Nadhani kutakuwa na makosa katika kunakili tarakimu husika.
Hakiki.
Ingia menu ya m-pesaNaomba nielekeze mkuu namna ya kuconnect mpesa na hiyo mastercard
Bei ya vitu kwenye hiyo mitandao inaandikwa kwa US$ au tshs?Ingia menu ya m-pesa
*150*00#
Chagua 4- LIPA KWA MPESA
chagua 6- M-PESA MASTERCARD
Chagua 1-TENGENEZA KADI.
--- ukifika hapo utatumiwa kwa njia ya SMS (Nambari ya kadi/tarehe ya kuexpire/VCC ) hizi taarifa ni muhimu ni zibaki kuwa siri yaki. Usitoe kwa mtu yoyote.
Ukimaliza hapo
Ingia tena m-pesa menu
*150*00#
Chagua 4-Lipa kwa M-pesa
Chagua 6-Mpesa-Master card
Chagua 3-Weka pesa kwenye kadi
Ingiza kiasi alaf ukimalizia na namba ya siri ya m-pesa.
Kuanzia hapo upo tayari kuanza malipo.
Pia kumbuka kadi inaisha muda wake ndani ya mwezi mmoja tu.
Pia upo huru kutoa pesa zako toka kwenye kadi kurudi kwenye m-pesa yako freeeeee bila makato yoyote.
Pia kuweka pesa kwa kadi haina makato
Inatemegea na mtandao.Bei ya vitu kwenye hiyo mitandao inaandikwa kwa US$ au tshs?
Inafanya kazi sehemu yoyote ambayo inaruhusu malipo kwa njia ya master cardNaomba nijibiwe, Je mpesa mastercard inaweza kufanya malipo kwenye facebook page wakati wa kuboost au kupromote post/ad?
Sijauliza ila naamini pesa yako inarudishwa m-pesa yako.Kadi ikisha expire baada ya mwezi mmoja inakuaje?
kuna kitu unakosea mzee angalia taarifa vizuri za mastercard yako tena hasa pale pa exp date huwa wanachange kwaio kama unaandika tofaut itagomaHello Tech. guys.
Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.
Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.
Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida.
Nimewapigia voda wanasema kama haitaki nisitumie tu niendelee na visa card ya benki.
Regards.
Asante Mkuu.kuna kitu unakosea mzee angalia taarifa vizuri za mastercard yako tena hasa pale pa exp date huwa wanachange kwaio kama unaandika tofaut itagoma
Umefanyaje kwani namie inagoma