Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,327
yap upo sahihiYah, kwa jinsi nilovyosoma maelezo na nikaelewa ni kwamba.
1. Nadowngrade ROM yangu ya sasa kwenda ROM 8.0 ya Vietnam.
2. Nikishadowngrade kwenda ROM ya 8.0 ya Vietnam, simu itakuwa na field test option.
3. Baada ya hapo itaweza pokea updates za 8.1
Nisahihishe kama kuna nilipokosea.