Msaada: Luku ipo lakini umeme ndani hauwaki

Meter imeingia Temple hio Boss unatumia Zipi ni Hizi za Mradi Rea, Symbion au Hivi vimits vya juu ya Nguzo? Kama ni zamradi zinakuwa Na Circuit Breaker ambayo haiko Sealed icheki kama ime Trip ndani ya Meter apo pia tuambie ni indicator zipi zinawaka kwa Dashboard apo, Angalizo usikate seal yoyote Ukikwama Kachukue TB ofisi yoyote ya Tanesco Watarekebisha
Hakuna indicator YEYOTE inayowaka,zote zimezima.
 
Wakuu,

Naombeni msaada wa haraka,

Jana nilimtuma mtoto akaweke umeme kwenye mita ya luku sasa wakati wa kuingiza nadhani alikosea mara nyingi lakini umeme ulikubali kuingia.

Sasa shida ni kwamba kwenye mita inasoma unity nilizoingiza lakini cha kushangaza umeme ndani hauwaki yani kama hamna umeme. Nimeita fundi ameangalia kila kitu hakuna shida ila akasema shida ni mita yenyewe imejiblock.

Naombeni kama kuna anayejua nawezaje kutatua hili tatizo
Waone Tanesco
 
Kuna njia ya kufanya ila nimesahau ,cc umeme ukiisha mpaka ikazima ukinunua mwingine ukaweka unaingia lkn haifanya unakuwa hauwaki,sasa kuna batan ya kubonyeza kwenye hiyo Mita unabonyeza kwa muda bila kutoa kidole mpaka Mita inatoa kimshale Fulani hivi inatoa kidole unabonyeza moja kisha baada ya sekunde kadhaa umeme unawaka sema ile Mita ipo mbaaali nayo na cna mawasiliano huko, pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo unayoongelea ni mita ya three phases ndio unabonyeza Enter kwa muda wa 3-5 seconds then inakwambia ubonyeze 1 to close na inaanza kuhesabu 10 mpaka 1 then inafunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Naombeni msaada wa haraka,

Jana nilimtuma mtoto akaweke umeme kwenye mita ya luku sasa wakati wa kuingiza nadhani alikosea mara nyingi lakini umeme ulikubali kuingia.

Sasa shida ni kwamba kwenye mita inasoma unity nilizoingiza lakini cha kushangaza umeme ndani hauwaki yani kama hamna umeme. Nimeita fundi ameangalia kila kitu hakuna shida ila akasema shida ni mita yenyewe imejiblock.

Naombeni kama kuna anayejua nawezaje kutatua hili tatizo
luku kama luku inasehemu ya kuwasha na kuizima ukiwa huko huko nje ya nyumba iangalie kma imejishusha chini jua imejizma hvyo pndsha juu iwake,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom