Coke Zero
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,024
- 542
Wakuu,
Naombeni msaada wa haraka,
Jana nilimtuma mtoto akaweke umeme kwenye mita ya luku sasa wakati wa kuingiza nadhani alikosea mara nyingi lakini umeme ulikubali kuingia.
Sasa shida ni kwamba kwenye mita inasoma unity nilizoingiza lakini cha kushangaza umeme ndani hauwaki yani kama hamna umeme. Nimeita fundi ameangalia kila kitu hakuna shida ila akasema shida ni mita yenyewe imejiblock.
Naombeni kama kuna anayejua nawezaje kutatua hili tatizo