Beka Mpole
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 490
- 375
Msikiti wa ngazija upo maeneo gani ndugu.Kiingereza jongea pale ilipo British Council. Kiarabu kwa Posta muone imam wa Msikiti wa Ngazija au Maa'mur na mueleze nia yako. In shaa Allaah atakutafutia mwalimu
Posta karibu na hospital ya hindu mandalMsikiti wa ngazija upo maeneo gani ndugu.
Nenda Kanisa Katoliki Magomeni pale Muulizie Father Likoko ana darasa la Arabic.Wadau mi nipo Dar nafuta mtu au mahala ambapo naweza kufundishwa lugha za kiarabu na kingereza.
Hivyo anayeweza kunisaidia ktk hilo naomba msaada wake.
Ikiwezekana tuwasiliane.
+255 716 453 548
AhsanteKingereza muone rasi simba
Ahsante ndugu. Nitamtafuta leo.No yke ni 0659 554 444 yupo dar huyo jamaa anaweza kukusaidia faster hata kwa ushaur pia
Hakupokea cmHuyo mwenye hiyo namba hapo umemchek na anasemaje?
Ni kweli lkn kosa sio langu.ungesomeshwa private usingeandika haya yote
Barungi sijakuelewa. Nifanye nini kama hapokei sim wala sms hajibu?Huna shida mkuu