Msaada: Lodge Nzuri na Salama Mbezi Luis

Ndugu wanaJF naomba msaada, nina wageni wanasafiri kuja Dar hivi karibuni, naomba kufahamu Lodge nzuri na salama kwa eneo tajwa, budget ni 25K

NB: Pasiwe na kelele za Bar au zinginezo

Natanguliza shukurani kwa wachangiaji chanya.
ya "Short time" ama mpaka asubuhi?
 
Shukia kibanda cha mkaa kituo kabla hujafika apo mbezi stend ya karanga utawakuta boda boda waambie wa kupeleke comfort lodge.

2. Wilvina hii ipo opposite na st Joseph.

3.pia unaweza enda kibamba kwa mangi. Chukua bodaboda akupeleke ungwasi motel ni pazuri sana pia hata kwa mguu unaeza tembea.

4. Kuna nyingine ipo apo Luis inaitwa kingachi bei 25_35.

5.uphill forest- temboni
Temboni inn- temboni

Afu kuna nyingine ipo apo mbezi mwisho(makondeni) barabara ya zamani kama unaenda kwa yusuph jina limenitoka ukiuliza bodaboda, tax,driver ,bajaji watakufikisha

Gray house_Mbezi msakuzi

Cc Mother Confessor naula springs tunaenda lini au wataka twende asilia resort ngoro ngoro
SG patawafaa zaidi
 
Duh.. Unazijua guest zote?? Kama Tulikua tunakula bia wote Kingach pale
 
Back
Top Bottom