Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,208
Ulienda mwaka gani ?Hata bure silali...si hii opp na ukuta w msamv mkuu? Wanajilazaga wasukuma hapo wanaoenda ifakara balaa hahaa nadhan ni 10k
Ni kuzuri tuKwa hii bei mifugo lazma usiku iamke ikanywe maji
DAG iko vizuri na sio mbaya. Pia haina muda mrefu.Nenda DAG lodge hautojutia.
Hamna sio guest12,000 -14,000 hiyo itakuwa ni guest house.
Kuna mgeni mama alisema nimpokee then asbh aende ifakara kukwepa majukumu nikaamua kjmlaza hapo...ile naingia kuchek rooms nakuta koridoni kuna harufu ya kinyesi nikamuask mhudumu ..akasema mwenzngu acha tu hii gest wanapenda kufikia wasukuma so kuna mtoto alikuja amejisaidia...kuchek vyumba vibovu balaa tuvitanda tubayaaaa tudogoo mwe sikuaga ..feb hii mkuu!hakuna room ya 15k pale ..labda mnaangaliwa na sura zenuUlienda mwaka gani ?
Ushawahi kuilalia.?
Mbona unachosema.ni tofauti na nilichokuta
Maana mi mara mwisho kwenda moro ilikuwa 2019 na niliikuta nzuri tu bei sio 10k
Na vyumba vizuri tu self contained sijawaona wasukuma
Tena imetulia imejitenga yenyewe pembeni mwa ukuta wa Msamvu
Hahahaha umepataja hapo nimemkumbuka manzi mmoja nililala naeNeema lodge Msamvu ni nzuri
Zote zina maana sawa ili zinatofautiana kwenyeHivi kuna tofauti gani kati ya Lodge na Guest House ?
Yaani ww gest ya 12k unaisifia hvyo? Hahahaa ukiishi karibu na mm uta🙌!kuna lodge mwanza ukiingia unavua maviatu yako bila kuambiwa..sijui nikuelezejeHamna sio guest
Morogoro kama haiongozi nadhani inafatia kuwa na nyumba za kupumzikia nyingi mnoo
Guest kule zinaanza 4000 mpka 8000 chache ndo 10000
Lodge kule mazingira mazuri vyumba safi self contained usalama upo vinaanza kuanzia 12000 kama sikosei au 14000 nadhani nasemea lodge kabisa mkuu sio guest ilichangamka
Ndo kitu ninachopendea ule mkoa mambo easy na cheap.
Nimekumbuka mbali sana, enzi hizo moro ipo hot sio siku hizi mjini pamepoa sanaKahumba 'Ngoma' Lodge ni nzuri sana.
TobaaKuna mgeni mama alisema nimpokee then asbh aende ifakara kukwepa majukumu nikaamua kjmlaza hapo...ile naingia kuchek rooms nakuta koridoni kuna harufu ya kinyesi nikamuask mhudumu ..akasema mwenzngu acha tu hii gest wanapenda kufikia wasukuma so kuna mtoto alikuja amejisaidia...kuchek vyumba vibovu valaa tuvitanda tubayaaaa tudogoo mwe sikuaga ..feb hii mkuu!hakuna room ya 15k pale ..labda mnaangaliwa na sura zenu
Kwani Wangari Maathai ww si msukuma og?,au nakosea ndg zanguni?!Wanajulikana kwa ustaarabu wao tu
Mm nikilala hapo 2011 na 2012Ulienda mwaka gani ?
Ushawahi kuilalia.?
Mbona unachosema.ni tofauti na nilichokuta
Maana mi mara mwisho kwenda moro ilikuwa 2019 na niliikuta nzuri tu bei sio 10k
Na vyumba vizuri tu self contained sijawaona wasukuma
Tena imetulia imejitenga yenyewe pembeni mwa ukuta wa Msamvu
Kwa bajeti yangu ndogo kama hyo kama umekuta huduma nzuri na salama lazima uisifie kama vile mtoa mada alivyosema anaitaji kuanzia 15kYaani ww gest ya 12k unaisifia hvyo? Hahahaa ukiishi karibu na mm uta!kuna lodge mwanza ukiingia unavua maviatu yako bila kuambiwa..sijui nikuelezeje
Mimi pia nilipataga kifaa nikakipeleka pale nilikuwa natokea mbeya nikasema ngoja nipoe siku mbili moro ndo nikakichinjia pale pale manzi nilimuokotea floridaHahahaha umepataja hapo nimemkumbuka manzi mmoja nililala nae
Nimekumbuka mbali sana, enzi hizo moro ipo hot sio siku hizi mjini pamepoa sana
Hahaha mkuu kwanza unaanzaje kulala hapo kama hawakuui si wanakuibiaKahumba 'Ngoma' Lodge ni nzuri sana.
Point hapa sio gharama..point hapa ni qualityKwa bajeti yangu ndogo kama hyo kama umekuta huduma nzuri na salama lazima uisifie kama vile mtoa mada alivyosema anaitaji kuanzia 15k
Hajasema ya gharama
Of course ya gharama sanaa lazima unyooshe mikono jua maana huduma zinaendana pesa yako
Acha kabisa, kahumba palitisha sana enzi hizoPatachangamkaje wakati 85% ya 'Waliolala' Usingizi wao wa Milele kule 'Kola' hicho 'Kilichowalaza' na 'Kuwakondesha' kama 'Chelewa' walikitoa katika hiyo hiyo ( hii hii ) Lodge 'Kongwe' Morogoro Mjini Ndugu?