Msaada lodge nzuri Morogoro

Hivi kuna tofauti gani kati ya Lodge na Guest House ?
Lodge hupokea wageni wanao kaa muda mrefu Kama 2 ,3wks hata miezi Ila guest house hupokea wageni waleo kesho hawapo hawa tunawaitaga (wasoma gepu)
 
Na mimi kesho nafika moro, je sehemu nzuri ya kulala ni moro mjini au msamvu? Na lodge gari nzuri?

Bajeti yangu 20,000 mpaka 30,000.
 
Ukifika Morogoro mahali sahihi pa kulala ni Spring Hill Hotel
Bei elekezi Tsh. 30,000/ hadi 40,000/
Ile Masuka bado ipo?kulikua na disco mkanyageni na sijui walikua wanapika nini pale, hotel kuubwa ila huduma za ajabu kabisa.
 
Habari wakuu

Soon nitaelekea morogoro naomba msaada wa kujua lodge nzuri

Location-Morogoro mjini

Range from 15k-25k

Natanguliza shukrani
Kola view lodge...location imetulia
 
Guest gani hio kwa jina?
 
Na mimi kesho nafika moro, je sehemu nzuri ya kulala ni moro mjini au msamvu? Na lodge gari nzuri?

Bajeti yangu 20,000 mpaka 30,000.
City Dream Lodge, ipo vibandani karibu na Dolphins
 
Nilienda Toplife pale round about ya Sua kwa mapendekezo ya mdau humu...

Furniture reception na sehem za kupumzikia ziko powa ila ndan vyumban michosho na vya kizamani na baadhi ya vyumba kale kaharufu ka uzee wa lodge kapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morogoro kuna lodge za kishamba sana, kunasiku tulipanga kulala hapo, tulifika usiku tulitafuta lodge kule mjini bila mafanikio, tukatafuta boda atusaidie tukapata sehemu yenye nafuu hotel moja inatwa Whitesand hotel kama sikosei. Tulilala lakini kwakweli hatukuridhika kabisa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kings Hotel karibu na msamvu kuja stand ya Dom
 
Uzi unakimbia

Nashukuru nilikwenda nikafikia spring hill hotel

Asanteni sana
 
Sure naijua..kuna mlokole mmoja anajifichiaga hapo ananywea hapo..dah maisha haya..ni famous Moro...ana kanisa lake..so hucho ndo kijiwe chake..anakunywa hapo jumapili anahubiri kanisani
Mhhhh....usiwe unamuongelea muuza mapazia. My business partner huyo.
Ngoja nitoke Moshi nipite Moro.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…