pisces
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 240
- 61
Wadau, nataraji kuwa Morogoro kesho mchana kwa ajili ya semina ya kikazi kwa siku tano. Na mimi sio mwenyeji pale Moro.
Naomba nisaidiwe ni Lodge gani iko karibu na oasis hotel? price isizidi 30 kwa siku, pia napenda iwe safi na yenye usalama.
nawasilisha
Naomba nisaidiwe ni Lodge gani iko karibu na oasis hotel? price isizidi 30 kwa siku, pia napenda iwe safi na yenye usalama.
nawasilisha