Msaada:lipi chaguo sahii la tablet?

halimbaya

Member
Oct 10, 2011
63
15
wadau nahitaji kununua tablet lakini bado sijafahamu ipi ni bora katika matumizi,wengine wanasema chukua za Android wengine za IOS so plz ushauri hapa
 
-chagua yenye angalau screen size ya 10"
-touch screen yake iwe 'capacitive' na sio 'resistive'
-OS ipi ni bora ni swali ambalo liko subjective -- lakini Android is open and 'free', iOS is superb too. Go for your heart and well, needs
-tafuta ambayo inakupa uwezo wa kutumia 3G kwani WiFi kwa mazingira haya ya kwetu bado ni tatizo
-angalia pia additional features kama camera (webcam), speakers (how good), USB (au miniUSB) ports, battery life, n.k.
 
Mkuu tafuta kitu inaitwa "ASUS SLIDER" ndio mwisho wa matatizo, hapo hakuna cha IPAD wala nini yaani utagundua kuwa nyingine ni majina tu!!
 
Tatizo la Ipad ni kwamba inatumia microsim hivyo kukulazimu kukata sim card ili uweze kutumia 3G.
Samsung galaxy tab naona ni better maana inaingiza sim card za kawaida.
kwa graphics apple hana mshindani.
kama huna haraka subiri toleo la pili la Sony tablets nadhani zitakuwa bora zaidi.
 
Sina cha kuongeza, ushaur wote ni mzuri

Labda above all, cheki na budget yako wapi itafit the best


All the best
 
Mkuu tafuta kitu inaitwa "ASUS SLIDER" ndio mwisho wa matatizo, hapo hakuna cha IPAD wala nini yaani utagundua kuwa nyingine ni majina tu!!
Du baada ya kubofya hii kitu kwenye red nimekikubali ,amaa kumbe wengi tunashabikia majina,hii kitu ukiwa bongo waweza kuipata wapi ndugu na inaweza ku cost kiasi gani,hii kitu ni kama laptop kabsaa eti
 
Back
Top Bottom