Msaada Link ya Gb whatsapp latest vision

Msaada Link ya Gb whatsapp latest vision

Privacy settings ziko more advanced? Niliwahi kutumia whatsap plus enzi izo ilikua unaweza ku hide hata online. Vipi iyo?
hii iko Gud zaid cha kufanya wewe nenda option then chagua GB setting ndo utaona deference
 
NAOMBA LINK YA KUDOWNLOAD WHASTSAAP GB AMBAYO IKO UPPDATED.
 
Msaada tutani jamani wajuvi wa simu njooni mnisaidie jaman hii wasap mpya mbon iko hivi nahitaji ile ya zamani wapendwa nifanyeje ile nitumie ile ya zamani mawazo yenu waungwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom