iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,206
- 10,145
Nashindwa kuapdate GB WhatsApp . msaada please
Wengi sana hii issue inawashinda ya ku update GB whatsapp kutokana na kwamba inaleta sana yale maneno ya Kiarabu so inaleta utata kidogo. Sasa mkuu fanya hivi backup chats zako za hiyo iliyopo bila shaka ni v5.20 then after that unistall kisha download latest version ambayo sahizi imetoka v5.30 kutoka moja ya links ulizopewa hapo juu na wadau kisha utaifungua mwanzo kabsa unapoifungua itakuulza ku restore data zako kama ulizi backup (Ndio maana mwanzon kabla ya kuiunistall unatakiwa u backup data zako kwenye drive) then restore afu ikimalza haiitaji kuanza usajiri upya na data zako ztakua safe kama mwanzo.
You're done!