Eliya Dawa
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 270
- 164
Jamani samahanini,
Wale wenye mautundu ya line,
Line yangu aina ya Tigo ilianza kutotoa delivery report nikituma sms nikabadili program lakini bado tatizo halikuisha mwishoni mwa wiki ilopita imeanza kamchezo SMS haziingii zikitumwa ila kwangu zinatoka.
Nalaumiwa sana sana na marafiki zangu kuwa sijibu SMS lakini kwenye simu yangu hamna sms inayoingia wiki nzima sasa.
Je, kuna mtu anaejua tatizo ni nini anisaidie?