Vipi umefanikiwa kuisoma hyo courseNaamini wote ni wazima na kwa wagojwa Mungu awape wepesi katika hilo.
Bila kupoteza muda
Naombeni msaada wa hiyo course tajwa kwa vipengele vifuatavyo
1. Wigo wake wa ajira ukoje
2. Wigo wa kujiajiri
3. Mwisho wa course mwanafunz ataweza kufanya nini
Mwisho kabisa kama kuna mtu anaielewa vizuri hii course au ameisoma tafazal nifafanulie kidogo maana sina uelewa nayo wa kutosha.
Nami pia naipenda hyo course nitakuja kuisoma huko mbeleni,ingawa nawaza jinsi ya kuja kumkwepa mwajiriHapana ndugu,sijafanikiwa kuisoma,Mungu akijalia nitanza mwaka wa masomo 2023-2024
Kupata ruhusa ya kwenda kuisoma hyo course maana nipo kada nyingine na pia kufanya recategorizationKumkwepa kwa maana ya recategorization au
Stress za kujitakia. Mtu anasoma kozi Kama hii alafu anatarajia kuja kujiajirišUnasoma hiyo course ili uje kuwa nani?
Mnasoma course za hovyohovyo halafu mkikosa Ajira muda mrefu mnaanza kuitukana serikali.
Ukisoma huo uzi najaribu kuuliza wadau juu ya hiyo course.ili nipate ABC pia wengine wenye interest waweze kufahamu.Unasoma hiyo course ili uje kuwa nani?
Mnasoma course za hovyohovyo halafu mkikosa Ajira muda mrefu mnaanza kuitukana serikali.