Hatimaye imepona bila kuiformat, nimefanya trial nyingi baada ya kusoma kwenye mtandao nikajaribu kupress power button na volume up and down sequencially nikaona kama hakuna jipya nikaiacha. Baadaye naona imeandika inafanya diagnostics, ikawa inafnya ndani kwa ndani ilipomaliza ikawa display sehemu ya kulog in, nilipolog in ikawa imepona. Nashukuru tena kwa msaada wako Chief.