achengula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 369
- 62
Ndugu wanajamiiforum,
Tablet nilikuwa nimeiacha kwenye umeme kwa muda wa saa moja hivi huku ikiwa na muvi inaendela kucheza wakati ina download windows 10 kwa ajili ya ku upgrade kutoka windows 8.1. Nili opt idownload kwanza ikimaliza ndo niinstall. Kilichonishangaza nitakuta imejizima na umeme haukukatiuka. Nilipojaribu kuiwasha inawaka niki sign in inafungua hadi kuonyesha desktop kisha inaanza kushut down. Nikiiwasha bila ku sign in nikaiacha kwa muda inakaa kama secunde 30 hadi dakika moja inajizima. Wakati mwingine niki sign in inazima kabla ya kuonyesha desktop. Inaonekana kuna muda maalum unaotumika tangu kuwasha hadi kujizima. Nimejaribu kutafuta namna ya kuingia ili niweze ku repair automatic nimeshindwa kupaona. Hata kuingia sehemu ya ku re-set to factory setting nimeshindwa naingiaje japo kuna wakati kipindi cha nyuma niliwahi kuingia sasa sikumbuki. Naombeni msaada wenu wanandugu.