Wanstechnical
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 266
- 225
Laptop Toshiba imezingua keyboard keys hazifanyi kazi, kwa mujibu wa mtu niliyemuachia anadai alikuwa anaisafisha na mara baada ya kumaliza kuisafisha (na fluid) ndipo tatizo likaanza...napata shida sana wadau msaada wenu wa haraka unahitajika