Msaada laptop haikamati internet network

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,925
Heshima yenu wakuu.
Laptop ni aina ya DELL INSPIRON na mwanzo ilikuwa inakamata vizuri tu wireless na hii ya kawaida. Lakini hivi sasa haikamati hata baada ya kubadili window kutoka Window 7 profession hadi Window 8, bado tatizo lipo.
Naombeni msaada wenu tafadhali.
 
Inawezekana ni mitandao mkuu ata mimi nina tatizo la tablet yangu haikamatii wireless,na nina router, pia ata laptop yangu imegoma hivyo hivyo. haikamati wireless. Nikiweka modem ya voda haina network, Nikiweka tigo hivyo hivyo, Mpaka sasa natumia modem ya airtel na line ya airtel. router namodem ya voda nimeziweka pembeni mpaka mambo yatakapokaa sawa
 
utakosa ushauri kutokana na kichwa cha habari ulichoweka, rekebisha na andika hivi: LAPTOP HAISHIKI INTERNET au LAPTOP HAIKAMATI NETWORK!
 
Sawa mkuu nimekupata bahati mbaya siwezi ku-edit kichwa cha habari.

Nipe ushauri basi.
 
Inawezekana ni mitandao mkuu ata mimi nina tatizo la tablet yangu haikamatii wireless,na nina router, pia ata laptop yangu imegoma hivyo hivyo. haikamati wireless. Nikiweka modem ya voda haina network, Nikiweka tigo hivyo hivyo, Mpaka sasa natumia modem ya airtel na line ya airtel. router namodem ya voda nimeziweka pembeni mpaka mambo yatakapokaa sawa

Nami nikitumia modem zinashika vizuri sana, tatizo ni hiyo wireless...
 
Back
Top Bottom