Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,882
Habari,
Tangu jana computer yangu imepata tatizo la internet connection ambalo halikuwepo kabla. Ninapoconnect moderm(ya Airtel)ambayo ndi huwa naitumia kila siku inagoma na inaandika
"A connection to the remote computer could not be established, so the port used for this connection was closed".
Natumia Sony laptop, window 7.
NB: Nimejaribu kubadili moderms za mitandao mengine lakini pia zinagoma. Msaada tafadhali mana hii ndio ofisi na ndio kila kitu
NATANGULIZA SHUKURANI!
UPDATES: Nimefanikiwa na sasa internet inakubali kuwa connected ila limeibuka tatizo jingine nalo ni kuwa baadhi ya website hazitaki kufunguka,japokuwa awali zulikuwa zinakubali. Nimejaribu kuhangaika na kutafuta solution online ila tatizo ninaloletewa ni kuwa DSN SERVER IS NOT AVAILABLE.