RE: Msaada Mozilla Firefox haifunguki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RE: Msaada Mozilla Firefox haifunguki

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Anko Sam, Mar 23, 2011.

 1. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Natumia Dell laptop Latitude D510, window XP 2007, nilikuwa natumia Mozilla Firefox kubrowse mitandao. Speed yake ni nzuri na nili-ifurahia. Kizaa zaa kilikuja baada ya ku-install VLC media player! Mozilla Firefox ikagoma, ilibidi nii-unnstall VLC na mozilla yanyewe.

  Nikadownload na install Mozilla pekee yake lakini imegoma kufunguka nikigonga shortcut icon kwenye Desktop. Nimejaribu nimeshindwa, Mozilla firefox naipenda kwa speed yake, je nifanyeje ifunguke?

  Naombeni msaada! Hii Internet Explorer indachelewa kufunguka-siipendi!
   
 2. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Install GoogleChrome
   
 3. the kapex

  the kapex Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weka opera mini ni nzuri pia
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Version nyingi after 3.6.3 zina matatizo,ningekushauri kwa sasa utumie 3.6.3 kurudi hadi 3.x.x hizo zingine nahisi kama bado wana zifanyia majaribio,nili download 4.0 ambayo ni latest na ilinizingua kama wewe nikarudi kwenye old versions (3.6.3)
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  stable version ya 4 imeshatoka. Ningekushauri ukimbilie 4!
   
 6. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ngoja nijaribu kurudi kwenye version 3.6.3 ikikataa naenda 4. Nilikwisha jaribu kuweka Opera Mini na Google Chrome lakini zilikataa kufunguka. Kudownload zinakubali, kufunguka ndo cheche!
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok kama na google chrome nayo basi jaribu kucheki firewall setting ya OS kama unatumia windows . Inawezekana inablock mara baada ya kuistall. nenda kwenye irewaal enable firefox au hiyo chrome.
   
Loading...