Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 4,722
- 14,248
Jamani wana MMU mtanisamehe kwa kuwatenga sana, lakini bwana raha za dunia lazima tushirikishane.
nlikuwa naangalia music kwenye you tube mara nikaona kitcheparty bongo... kufungua lahaulaah..... naona mwanamke anacheza Mc anataja stail
1. Fagio la chuma
2. Kisusio... et baba ananyonya mama ananyonya, mwambie apite moja kwa moja had barazani asiishie uwani
3. Mbuzi kagoma, sita kwa sita.
4. hii ndio funika bovu et msaada kwenye tuta
5. Bafuni, unajipaka sabuni jamaa anapita kwa nyuma mdo mdo
nikafuatilia comment , wengi wa wakenya na wa west africa wamekubali kina dada wa bongo ni nouma linapokuja suala la mapenzi
ushauri wangu.. hivi kwa nini tamaduni nzuri kama hizi tusi zienzi jamani tunaliachia kabila fulani tu? iwe universal bhana.. hii naona itaongeza ufanisi kazini na kukuza uchumi wa familia na nchi kwa ujumla... yale mambo ya ooh niko kwenye foleni, ah leo nimechoka sana, ah leo kazi nyingi sana yasingekuwepo.
Drawback
mapenzi ni suala la kisaikolojia hivyo kama pety hajafurahi hata tendo lenyewe linaweza kuwa mizinguo na ujuzi wote alionao
ila msaada kwenye tuta anaetaka kushuka jamani.......lol.