Msaada kwenye" Tuta"

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Mjuzi wahizi mambo msaada please

FB_IMG_16002495037962389.jpg
 
Mjuzi wahizi mambo msaada pleaseView attachment 1571324
Very simple; kwa haraka haraka inaonesha kuwa paka ni kilo 7, panya (kama sijakosea) ni kilo 3 na mbwa ni kilo 17.
Hivyo: Picha na 1: Kilo 10 = Paka (kilo 7) + panya (kilo 3)
Picha na 2: Kilo 20 = mbwa (kilo 17) + panya (kilo 3)
Picha na 3: Kilo 24 = mbwa (kilo 17) + Paka (kilo 7)
Picha na 4: mbwa (kilo 17) + Paka (kilo 7) + panya (kilo 3) = Kilo 27...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom