MSAADA KWENYE TUTA

Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,523
2,000
Habari wana jamvi?
Natumia window 10 katka pc, sasa siku za karibuni nimekuwa nikitumiwa message your window licence will expire soon, nimeenda katika option ya setting, nika donwload ili ni activate ila inaenda ikifika 99% inaniambia error, nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio. Kwa wenye uelewa hili ni tatizo, kama tatizo suluhisho ni nini? au sio tatizo niendelee kupeta tuu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom