Msaada kwenye tuta wadau..

Msaada kwenye tuta wadau..

jambo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Posts
241
Reaction score
29
Jamaa angu ameniandikia ujumbe mfupi unasomeka..Eti uko na demu wako anaaga anaenda kwa kaka yake anarudi anakuja kwako unaomba show anakuambia yuko mchafu mpaka akajiandae utajisikiaje..?

Kwa heshima ya MMU naomba tumshauri jamaa afanyeje..,maana yuko kwenye critical condition.
Natanguliza shukrani zangu kwenu..
 
inategemea mkuu uchafu upo wa aina nyingi hata jasho la kukatiza mitaani nalo uchafu!!
 
Mmmh... Mna mambo nyie!!

Sasa bi dada kama kapuyanga wee, jasho kibaao, kwapa linatema, kuna tatizo gani kukwambia akaoge kwanza??

Akikupa game huku ananuka kikwapa utaanza kulalamika pia..! Khaa.. Wanaume wasiojiamini ni JANGA..!!
 
Amruhusu tu akajisafishe tena ikiwezekana naye akamsaidia kusafishe then waendelee na msuguano.
 
ungejitolea kwenda kumuogesha kaka ndio ungejia ukweli wa mambo kama kuna mabaki ya shahawa lol

alafu demu wako utamuombaje game...wee unamkumbatia na kumbaishia aki feel dushelele anaelewa wataka papuchi
 
Hahahahahahahaaaaaa.... Nimecheka sana aisee..!
 
Hahahahahahahaaaaaa.... Nimecheka sana aisee..!

vizuri kama umecheka....huyu anatania. wanawake wanapenda kuogeshwa bana alafu hamna raha kama denda under a shower head.
 
ungejitolea kwenda kumuogesha kaka ndio ungejia ukweli wa mambo kama kuna mabaki ya shahawa lol

alafu demu wako utamuombaje game...wee unamkumbatia na kumbaishia aki feel dushelele anaelewa wataka papuchi

Ramadhan Kareem inaanza lini usafinye kinywa kidogo? Manake Kwaresma yote mpaka kuisha umenikwaza tu humu na tabia yako ya kuendekeza papuchi. Ramazan ikifika nakufatilia kwa ukaribu! Au mpagani weye?
 
uzuri mie wazazi wangu mmoja mkristo mwengine muslim so naweza kwenda church au msikitini my choice. mungu ni mmoja haijalisbi naenda wapi.

sasa nilikuwa nakupa wakagi gani mgumu wewe? so sasa upo free kuwachuna majaa na kugegedana lol
 
Back
Top Bottom