msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 838
- 1,167
Wakuu Habari zenu naomba Msaada ya rpm, pikipiki yangu Ile Cc110 nimekuwa nashindwa kuelewa je rpm ina umuhimu gani na ina Msaada gani kama Dereva?
Mfano nikiwa kwenye speed ya 50 rpm inakuwa kwenye 4 na jinsi navyovuta Mfano nikaenda speed 70 rpm inakuwa kwenye 6 je hiyo ina maana gani?
Mfano nikiwa kwenye speed ya 50 rpm inakuwa kwenye 4 na jinsi navyovuta Mfano nikaenda speed 70 rpm inakuwa kwenye 6 je hiyo ina maana gani?