malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 968
- 1,343
Ni simu mpya mtu katoka mayo nje ya nje, kila kitu Kiko fresh ila inapofika wakati unaiweka kwenye charge ikiwa on inakua kama mtu abaibonyeza bonyeza. Mara ifungue camera ipige picha ifunge, mara ifungue gallery ifunge, mara text. Kwa ufupi ni kama mtu anaitumia ila ni yenyewe tu na hili linatokea wakati wa kucharge tu. Naomba kwa anayejua tatizo ni nn na jinsi ya kulirekebisha