Division II ya 21 anataka kusoma CBG Kwenye combination ana DCC. Anaweza kuchaguliwa shule ya serikali bila utata?

Zamani sawa.kwa sas alazima masomo.ya combination yawe na credit
Vinginevyo kuna kautaratibu flani hivi anasoma kama private candidate or somthing like that...kwa hapo sina uhakika
Ila kusoma CBG hawezi...
Duuuh... Yaan private candidate kwa form 5 na six?
 
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nina mdogo wangu amepata division II ya 21 anataka kusoma CBG Kwenye combination ana DCC Je anaweza kuchaguliwa shule ya serikali bila utata?
Wajuzi mnisaidie kwa hili....
Ni wa kike ama kiume. Kama ni wa kike atachaguliwa. Manake serekali inatoa vipaombele kwa watoto wa kike kwenye course za science. Kama ni wa kiume imekula kwake
 
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nina mdogo wangu amepata division II ya 21 anataka kusoma CBG Kwenye combination ana DCC Je anaweza kuchaguliwa shule ya serikali bila utata?
Wajuzi mnisaidie kwa hili....
Nje ya mada

Kama una hela msomeshe diploma ya lab tech au biomedical kama anapokelewa. Div. II ya 21 sio marks za kung'ang'ania kusoma science A level. Ni risk ya kupoteza miaka miwili na kuanza upya, fanyeni ndoto zake ziendane na uwezo wake.
 
Back
Top Bottom