mambo vipi wakuu
naombeni msaada kwenye sms nikitaka kutuma inaniandikia enter senders name.
nimejitahidi kurekebisha lakini sijafanikiwa,mwenye kujua tafadhali anijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.