Msaada kwenye Referral Visa

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,182
6,214
Habari wakuu,

Kuna mteja wangu anataka kuja kutembea Tanzania. Sasa kwa utaifa wake anatakiwa awe na referral Visa. Nilikuwa naomba mwenye kujua anipe maelezo nini kinahitajika kuwekwa wazi kwenye invitation letter kutoka kwa mtembeaji na nini niweke wazi kutoka kwangu kama mwenye kampuni inayomualika kuja. Mfano nina mhuri wa kampuni lakini hauna Tin Number, utakubalika? na mambo mengine ni yapi.

Asanteni!
 
Back
Top Bottom