Msaada kwenye Opera Min jukwaa la siasa.!!!!

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
23,464
2,000
Natumia opera min...Lakini kila niki-log in jf jukwaa la siasa page inajirudia ileile yaani mada za juzi ndio zinapatikana. majukwaa mengine yanapatikana vizuri tu..!!!
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,215
1,500
Msiwe watu wa kurukiarukia vitu soma vizuri reply zangu. Opera nimeifahamu mda mrefu sana na kama isingekuwa opera hata jamiiforums nisingeijua. Mwenzenu ameuliza kuhusu opera min nikamuuliza anatumia version gani yeye akasema anatumia PC mode hapo nikawa na utata nikamuliza kama anamaanisha Operamini ya simu au Opera ya computer mara mwingine naye karukia ati nijiongeze. Mwishoni mhusika amesema ni ya computer. Sasa wakuu msaidieni. Ila pitia vizuri majibizano yetu
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako,hata hivyo baada ya kuona inashindikana nimeamua ku_download Opera upya sasa hivi kila kitu kipo sawa.....hao wengine wasemehe bure.
 
Top Bottom