Msaada kwenye LUKU: umeme ndan umezima remote switch iko off

Msaada kwenye LUKU: umeme ndan umezima remote switch iko off

Don255

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
1,069
Reaction score
854
naombeni msaada wakuu nyumbani kwangu natumia mita za umeme za luku zile za remote..sasa ghafla umeme ndan umezima na nikiisoma remote imeweka alama ya switch iko off...tatizo linaweza kuwa nn?...
 
naombeni msaada wakuu nyumbani kwangu natumia mita za umeme za luku zile za remote..sasa ghafla umeme ndan umezima na nikiisoma remote imeweka alama ya switch iko off...tatizo linaweza kuwa nn?...
Mita ni ya TANESCO, nakushauri wapigie wao simu.
 
Ninavyojua kukatika kwa umeme hakuhusiani na hiyo remote. Huenda umeme umeisha. Hiyo remote ina kazi 2 tu: kuangalia salio la units na kuongeza salio basi haiwezi kuhusika kwa suala lingine lolote. Ninachokushauri ichomeke kwenye umeme uangalie salio la units
 
Umeme mdogo izo mita nijanga hasa maeneo yenye umeme mdogo
 
Kunajaa yangu ilimtesa paka akavunja icho kirimot tanesco akacheza dili wakamilipisha mita mpya akatowa kidogo wakampa ya kujazia ukutani
 
TANESCO tu naomba msaada katika hili binafsi nina tatizo hili kwa muda wa zaid ya miezi 6
 
Back
Top Bottom