Msaada kwenye laptop dell latitude..

Msaada kwenye laptop dell latitude..

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Heshima kwenu,
natumia window 7 ila tatizo inagoma ku konect wireless nimejaribu ku trouble shoot problem inanijibu wireless capability is turned off.
naomba msaada plz..
 
bonyeza FN na key kati ya na key yenye alama ya mnara itafte kwenye keys za namba utaona
 
Angalia kama kuna switch ya wifi kwenye laptop yako, pembeli au mbele ya laptop pia ukiweka model number tutajua.
 
fungua windows mobility center utaona kama wireless ipo on au off pia unaweza kuiwasha kama imezimwa. kufungua windows mobility center bonyeza images.jpg + X halafu angalia kama ipo off uiwashe angalia mfano hapo kwenye laptop yangu inavyoonekana

windows mobility center
Capture.PNG

kama ukishindwa jaribu kuhakikisha kwamba wireless device inafanya kazi na ina latest drivers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom