Msaada kwenye huawei y 300

Msaada kwenye huawei y 300

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
Habari wana kijiwe wenzangu....nina tatizo katika simu aina ya huawei y 300 kila nkipiga au kupigiwa baada ya muda fulani kama dk moja au sekunde 40 inakata mawasiliano ninaewasiliana nae hanisikii ila mi namsikia au yeye ananisikia...je chili ni tatizo la simu au mtandao... msaada wenu wana jamvi
 
tatizo ni la simu..mimi limeshanikuta...reset cmu yako itakua fresh..mimi likinitokea nareset simu ambapo nikireset inakaa miezi hadi miwili ndo tatizo linajirudia
 
Ukireset haufuti application zako au ndio kufuta kila kitu hadi data
 
Hakisha pia umeupgrade firmware yako cz hili tatizo liliwakumba wengi hapo awali, ila baada ya firmware mpya kutoka tatizo lilipungua.
 
Nende Ofisi za Tigo wanasoftware mpya wataiweka kwenye simu yako. Angalizo fanya back up kabsa pia nenda ukiwa na Receipt
 
Hilo tatizo kwenye y300-0151 halipo. Hiyo itakuwa ni y300-0100
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom