Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,858
Kuzima kwenye ukuta mna maanisha nini?Tabia yangu ya kupitiwa usingizi na kujisahau kuzima kwenye ukuta kumbe ipo siku itanicost..š„²
Kuzima kwenye ukuta mna maanisha nini?Tabia yangu ya kupitiwa usingizi na kujisahau kuzima kwenye ukuta kumbe ipo siku itanicost..š„²
Switch soketiKuzima kwenye ukuta mna maanisha nini?
Binafsi TV za led kwangu kama mkosi, sizinunui ngo nanunuaga tu za mtumba flat screen /zinanifia kila uchwao infact TV hizi zinatuibia fedha tu /upo sahihi mkuu ni kweli huwa sina mazoea ya kuzima ukutani..na ni box hilo hilo la khaki
Yes naongelea kwa uzoefu, sumsung tv yangu ilikufa kwa kuzima shortcut yani mtu unazima ukutani moja kwa moja pasipo tumia remote, unatumia remote halafu unamalizia ukutani, haya mavitu yamepanda bei sana tutumia kwa akiliInatakiwa kuzima kwanza kwa remoti yake kisha ndo unazima ukutani.. sio ndio mkuu?
1.7milion inch 58 hisense ikikufia hiyo pesa ingefaa iwe mtaji,Binafsi TV za led kwangu kama mkosi, sizinunui ngo nanunuaga tu za mtumba flat screen /zinanifia kila uchwao infact TV hizi zinatuibia fedha tu /
Hebu nipe maelezo ya kutosha maana natak kuchukua hiz HisenseHasa hizi View attachment 2238406
Duhhhh mkuu mbona mnatuchanganya, wengine wanasema box ya kaki ndio nzuri kuliko box nyeupe na kigezo hicho huendana ata na bei zake, maana box za kaki ni bei kubwa kidogo kuliko nyeupe, Kama hutojali hebu tusaidie uzoefu wako katika hiliUkitaka pata box jeupe zile hazisumbui Sana
KumbeYes naongelea kwa uzoefu, sumsung tv yangu ilikufa kwa kuzima shortcut yani mtu unazima ukutani moja kwa moja pasipo tumia remote, unatumia remote halafu unamalizia ukutani, haya mavitu yamepanda bei sana tutumia kwa akili
Nilishatoaga angalizo mapema sana kipindi hizi Tv zinaingia reviews hazikuwa nzuri hata ulaya huko wenyewe wamekiri zina kipengele cha kuua screen. Zilikuja kuzipiku TCL sokoni na watu wakazivamia kichwa kichwa ila TCL inabakia kuwa best budget television hata kwa ubora.Nilikua na mpango wa kuchuku hizo hisense..kumbe ni vipengele?
#MaendeleoHayanaChama
Jaribu sony1.7milion inch 58 hisense ikikufia hiyo pesa ingefaa iwe mtaji,
Hivi ni brand gani ni imara na inavumilia mikikimiki ta umeme kukatikw ghafla
Hio pesa yako kanunue TCL Android TV hutajuta ukipata series 5 au 6.Duhhhh mkuu mbona mnatuchanganya, wengine wanasema box ya kaki ndio nzuri kuliko box nyeupe na kigezo hicho huendana ata na bei zake, maana box za kaki ni bei kubwa kidogo kuliko nyeupe, Kama hutojali hebu tusaidie uzoefu wako katika hili
Hio pesa yako kanunue TCL Android TV hutajuta ukipata series 5 au 6.
TV zao ni budget tv nzuri na imara compared na Hisentcl
TCL ziko vizuri, watu wanadunda nazoHio pesa yako kanunue TCL Android TV hutajuta ukipata series 5 au 6.
TV zao ni budget tv nzuri na imara compared na Hisense...
Yeah watu wamekurupukia sana hisense bila kufanya deep researchTCL ziko vizuri, watu wanadunda nazo
Yes madamKumbe
Si unajua watu wengi tunavutiwa na muonekano wa njeYeah watu wamekurupukia sana hisense bila kufanya deep research
TCL nasikia zinafubaa kioo chake huwezi kulinganisha na hisenseYeah watu wamekurupukia sana hisense bila kufanya deep research
Dah poleni sana wazeeSi unajua watu wengi tunavutiwa na muonekano wa nje
Zinafubaa kivipi hebu tafta TCL 6 au 5 series uone kioo chake, zina display nzur ajabuTCL nasikia zinafubaa kioo chake huwezi kulinganisha na hisense
Sony na hisense kwa mng'ao wapo mbali sana nakubali hata olg smat tv led ni bora zaidi ...Jaribu sony