Msaada kwenye hili...

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,645
2,000
Tshs. 30,000,000/= ya mwaka 1997 ni sawa na Tshs. ngapi kwa sasa (2014)? Naombeni na methodology tafadhali.

NB: Kuna mzee mmoja alikuwa anadaiwa hiyo hela mwaka 1997, hakuweza kulipa tangu sasa, lakini watoto wake ndio wanataka kulipa hilo deni.
 
born again pagan

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
2,155
2,000
Tshs. 30,000,000/= ya mwaka 1997 ni sawa na Tshs. ngapi kwa sasa (2014)? Naombeni na methodology tafadhali.

NB: Kuna mzee mmoja alikuwa anadaiwa hiyo hela mwaka 1997, hakuweza kulipa tangu sasa, lakini watoto wake ndio wanataka kulipa hilo deni.

Ni rahisi sana mkuu...ni hivi tafuta exchange rate ya US dollar ya mwaka '97... Mfano mwaka 97 dollar 1 =1200 basi chukua 30,000,000÷1200 utapata 25,000. Sasa chukua hiyo 25000 ×1650(exchange rate ya sasa ya dollar) utapata 41,250,000. Kwahiyo 30m ya 97 ni sawa na 41.25m ya 2014.
NB: hakikisha unapata exchange rate sahihi ya dollar kwa mwaka na mwezi husika hiyo mwaka 97
 
Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,645
2,000
Ni rahisi sana mkuu...ni hivi tafuta exchange rate ya US dollar ya mwaka '97... Mfano mwaka 97 dollar 1 =1200 basi chukua 30,000,000÷1200 utapata 25,000. Sasa chukua hiyo 25000 ×1650(exchange rate ya sasa ya dollar) utapata 41,250,000. Kwahiyo 30m ya 97 ni sawa na 41.25m ya 2014.
NB: hakikisha unapata exchange rate sahihi ya dollar kwa mwaka na mwezi husika hiyo mwaka 97

Ahsante mkuu, inaonekana kama vile ndio solution yenyewe! Bila kuihusisha dollar kuna njia nyingine?
 
Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,399
2,000
Born amekupa jibu sahihi sana ya jinis ya namna ya kukokotoa hapo.
hakuna njia nyingine,ila wanaodaiwa ndiowakubali hali hiyo.
La sivyo peleka Mahakamani,na huko watakuta mfumo huo huo.
Ila nahisi ni zaidi ya hizo pesa,maana kwakumbukumbu zangu dola mwaka 1997 ilikuwa chini ya 1000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom