Msaada kwenye blog

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Wandugu natumaini wote wazima wa afya .
ndugu zangu wataalamu wa naombeni msaada juu ya kuondoa hili tatizo kwenye my blog ,kwakifupi hii blog alinitengenezea rafiki yangu ambaye ni ADMIN wa mtandao wa rafikibuzz sasa, kuna hili tatizo nimekuwa nikipokea maoni mbali mbali kuhusu blog yangu hasa wanaotumia google chrome lakini ukifungua kupitia mozila na mitandao mingine inakuwa fresh ila ukitumia google chrome inaleta ujumbekama huu Danger: Malware Ahead!
Google Chrome has blocked access to this page on www.gshayo.blogspot.com.
Content from www.rafikibuzz.com, a known malware distributor, has been inserted into this web page. Visiting this page now is very likely to infect your computer with malware.
Malware is malicious software that causes things like identity theft, financial loss, and permanent file deletion. Learn more
Go back Advanced
msaada unahitajika wapendwa
 
mkuu kwanza kabisa jiunge google webmaster tool then watacrawl website yako halafu watakupa error.

Google ana tools nyingi na hili linalalamikiwa sana mchezo wake wa kuiba information na kuzitumia kwenye vitu vyake vyote kuna possibility kubwa robot wa google search engine alipokuja kufetch data amekuta suspicious thread au software kwenye blog yako then akampa rafki ake google chrome alert then imekua hivo.

Nakushauri fanya hivyo kwanza.

Pili jaribu mwenyewe manually kuangalia vitu vyako unavyoweka avoid maneno hack, crack, keygen, na yafananiayo instead tumia cr@ck, h@ck, k3yg3n ili kumdanganya robot wao.

Pia hakikisha huna software ulohost kwako mwenyewe software inabidi uzihost kwenye hosting file website kama mediafire, rapidshare na turbobit
 
kama vipi badilisha hiyo template uone itakuwaje..
 
Nashukuruni wakuu ntayafanyia kazi maoni yenu,chef ntakucheck baadae
 
Mkuu, kwa kiitaliano neno Dio maana yake Mungu. Umepanga kubaki kwenye blogspot mpaka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…