MSAADA: Kwanini Tunakatwa Development Levy na Kodi kwa wakati mmoja?

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Naomba kujua kwenye payslip yangu, Nakatwa Development Levy, Wokers compensation, pamoja na kodi. Naomba kujua. Nini tofauti ya hiyo development levy na hiyo kodi?

Ahsanteni.
 
NAONA HILI JUKWAA LIFUTWE....MAANA WANASHERIA WENYEWE HAWAPO WANATAKA TUWAFUATE MAOFISINI MWAO...
 
Back
Top Bottom