Msaada kwa wenyeji wa morogoro

bway hermit

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
1,330
2,331
Npo kweny gari/safarin nmetokea tunduma naelekea tabora so naona kama nimechelewa naomb kujua kwa morogoro kuna maeneo/gest gani nzuri ambapo naweza kupumzka huku nikipata burudani?
 
Ww bwana mdogo ukishuka stend msamvu elekea upande wa hotel ya gwami huko utakuta magesti kibao zaidi ya mia
 
Nasheera Hotel, Moro Hotel,kimbinyiko Lodge, White Lodge…. Zote zipo almost mjini kati na sio huko msamvu
Npo kweny gari/safarin nmetokea tunduma naelekea tabora so naona kama nimechelewa naomb kujua kwa morogoro kuna maeneo/gest gani nzuri ambapo naweza kupumzka huku nikipata burudani?
 
Usipate tabu nenda pale FLOMI ipo opsite na tanesco sub station kama unaelekea Dom au nenda KIMBINYIKO Kama unaelekea SUA kwa nyuma .aeneo ya msufini hizo sehemu ni nzuri huwa weekend zangu huwa nakula bata maeneo hayo.
 
Back
Top Bottom