Msaada kwa wenye ujuzi wa telecommunication

Msaada kwa wenye ujuzi wa telecommunication

Divert option haijawahi kumfanya mtu wa tatu akasikia maongezi ya watu wawili.

Ebu tuambie, kuna divert all calls, divert when busy, divert when not reachable. Sasa kati ya hizo ni ipi inayosema call share au conference.

Ninaamini unaweza set smart phone ikawa ina record calls na kukutumia recorded voice na sio live feeds, ilo na kudukua simu ya tochi tuwaachie wenye mamlaka zao.

Vinginevyo nenda anapokaa( Unaibiwa eneo la tukio kwa kuwekewa loud speaker uskiwe na kila mtu)

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
Mkuu Tafadhali nasubiria jibu lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna app moja sijw inaitwaje n yawahindi kunabraza mmoja alikuwa anaitumia n unakuwa namamlaka na sim SMS had emails za mtu mf unaweza had kupiga makelele ukavuluga maongezi ukastopisha sms ukaedit nakuiacha iende upande wapili au ukaamua kuwakatia simu wasiendelee na maongezi au ukazuia SMS isiende upande wapili yaaan ile app jina ndosilijui ila app zahivo zipo kama hiii ilikuwa inatumia lugha yakiindi
 
Ngoja tuwaite wenye fani zao akina Chief-Mkwawa..

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
 
Kweli nafsi sometimes unaongea kabisa...ila sisi binadamu ni wabishi Sana ila kiukweli haya yakitokea huwa hauamini Kama ndo yamekutokea, ila ndo hamna namna
hivi kwa muda wote huu tunapokushauri kwanini usiende kwa miguu yako mpaka ghorofa ya 8 na ukampigia simu mlangoni km hutasikia sauti jirani na maongezi yako ruudi
ukisikia tu mwambie fungua mlango nimekuja kwako nipo hapa
usipofunguliwa au akisema hayupo ndani
basi usirudi hapa Jukwaani utafuta mchawi, jua utashuhudia manyoya JIACHIE MKUU
ni mapito tu atarudi kwa magoti
 
Habari Wana jf,

Naombeni kuuliza wataalamu kwenye sector hii, nilikuwa nikisumbuliwa na sintofahamu kwenye mawasiliano ya simu na mwenzangu.

Ipo hivi nikiongea nae huwa nahisi sauti ya third party(mtu wa pembeni) ikiongea,nikikata nikija kumuuliza kwa text anasema yupo peke yake chumbani na yeye anakaa gorofa Kama ya nane hivi juu kabisa.

Mara nyingine tena alipiga simu yeye baada ya kuchati nae muda mrefu, ile napokea naskia sauti ya 'ME' wakati nilikuwa Nachati na 'KE' ikiniuliza maswali tofauti Mara inakata najikuta Naongea na 'KE' tena.

Sasa yeye anasema kutokana anakaa gorofani juuu Sana so inawezekana Kuna interference ya waves kwenye maongezi yetu...daaah nilijalibu kuwapigia Airtel nione watasemaje ila sikufanikiwa kupata msaada wowote.

Sasa Nduguzanguni naombeni kujua, je ni kweli Hilo tatizo la kuingiliana sauti ukiwa unaongea na mtu aliekaa gorofani juu kabisa ni Jambo la kawaida au ni janja janja tuu nafanyiwa?

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jaribu hii, kwakufanya kwenye simu yako na ikibidi nayake pia.
 
Attachments

  • Unlock.jpg
    Unlock.jpg
    64.5 KB · Views: 15
inaweza kuwa co-channel interference yani kuna transmission zinafanyika katika same frequency na nyie mnazotumia.
 
Back
Top Bottom