Hi wana JF, napenda niulize kwa wazoefu maana hapa ni kujifunza. Hivi mwanamke baada ya kujifungua anatakiwa akae muda gani kabla hajaanza kukutana kimwili na mmeo tena?
120 days
Kwani kuna madhara gani wakikutana tuseme baada ya wiki hv au cku kumi
tatizo we askofu haya mambo sio yako......unafikiri kupitisha mtoto issue ndogo?
Na vipi kuhusu kupata ujauzito mwingine huku mtoto akiwa bado mdogo?
Siku hizi mnavyodanganyana .... sijui atatoka nje usimcheleweshe sana ...... mie nadhani kama ulivyosema 6 weeks, lakini itegemee sana afya ya mama na mtoto. Nasikia huwa mnapoteza mzunguko wa nanihii, sasa hapo ukienda ovyo tu ndo inakua bandika bandua unarudi kazini na ternity ....... soga zako wanashaangaKama amejifungua vizuri bila ya matatizo ni wiki 6 tu, baada ya hapo mambo yanaenda kama kawaida.
40 days ila inaweza kuwa more than that....
sasa DC utaua hapa, 20 days!Even less than that. What matters is not the number of the days, just make sure the woman has healed well and got back to normal.
Some have done it even within 20days.
sasa DC utaua hapa, 20 days!
Kwani kuna madhara gani wakikutana tuseme baada ya wiki hv au cku kumi
Kwani kuna madhara gani wakikutana tuseme baada ya wiki hv au cku kumi