Msaada kwa wazoefu

tatizo we askofu haya mambo sio yako......unafikiri kupitisha mtoto issue ndogo?

:behindsofa::help::confused2:

Maaskofu wasiohusika na haya ni wa Katoliki tu, maaskofu wengine wanahusika............

:pray::A S confused::gossip::tape2:

We Askofu unafikiria hilo ni jambo dogo. Baada ya wiki hata da*** haijakwisha kutoka unataka wakutane? Hata nyuzi bado kutoka? We bado kabisa Mkuu

:A S confused::confused2::angel:
 
Uongozi wa Kanisa umekupiga marufuku ya kuingia eneo la kanisa maana we ndo uliondoka naye na hajarudi mpaka sasa...

Bado hajarudi? Mi nilipomaliza nae sala analirejea pale parish....
Hebu kamtafuteni kwa baba g, asprin au bigirita...ikibidi hata kwa pope kaizer...
 
Hi wana JF, napenda niulize kwa wazoefu maana hapa ni kujifunza. Hivi mwanamke baada ya kujifungua anatakiwa akae muda gani kabla hajaanza kukutana kimwili na mmeo tena?

Wewe mjamzito??
 
Bado hajarudi? Mi nilipomaliza nae sala analirejea pale parish....
Hebu kamtafuteni kwa baba g, asprin au bigirita...ikibidi hata kwa pope kaizer...

Duh, kwa mpango huu hawezi kurudi leo wala kesho mpaka amalize mzunguko
 
Experience is the best teacher. Unaweza kuweka opion pall labda itakuonesha ninayoyasema. Hivi kama mama kajifungua salama, na tayari keshapona vizuri, utakuwa unasubiri siku 40 ili iweje?

Mambo mengine ni ngumu kumweleza mtu akakuelewa hadi aingie mwenyewe kwenye mchezo.

ic, kwa hili sitaki kujifanyia majaribio
 
Back
Top Bottom