Msaada Kwa Watumiaji wa DSTV

Msaada Kwa Watumiaji wa DSTV

wamepandisha bei pamoja nakudai tshs kushuka wajiandaa mwezi sita au wa saba kunakinyang'anyilo cha kupata milki ya kurusha mipira msimu ujao.
lakini naamini africa mashariki azam atashinda tu.
dstv wezi kabisa beinsport ni laki 350 mwaka mzima pamoja na dekoda
 
Beinsport africa mashariki hawana ruhsa. Dstv ndio eneo lao.
 
Mkuu,

Tafadhali kama unafahamu kiasi kipya kwa sisi wa explora nijulishe.

Decoder ya kawaida ya dstv inauzwa 139,000/- ila Explora kinauzwa 410,000/- ambacho kiatofautiana na cha kwanza kwa malipo ya mwezi na packages zake sababu hiki ni High Definition channel zote.
 
Hiyo Explora ndio Premium package?

Kila decoder I premium package ila cha HD ZAPPA na EXPLORADECODER zianatofautiana bei za packages cha explora kiko juu sana sababu kina features nyingi na ni moe advanced.
 
Hakuna wezi wakubwa katika ving'amuzi kama DSTV hasa huku kwetu africa mashariki.Sidhani kama kwao South Africa bei ni hizi za kwetu.anayejua tafadhali sana atujulishe ili tulinganishe na huko.
 
Kila decoder I premium package ila cha HD ZAPPA na EXPLORADECODER zianatofautiana bei za packages cha explora kiko juu sana sababu kina features nyingi na ni moe advanced.
Acha hizo!
Premium ni TZS 165,000/- kwa Ving'amuzi vyote vya DSTV kuanzia April mwaka huu! Kabla ya hapo ilikuwa 142,000!
Explora ni ghali kwenye kuinunua na wala haihusiani na bei za vifurushi!
 
Acha hizo!
Premium ni TZS 165,000/- kwa Ving'amuzi vyote vya DSTV kuanzia April mwaka huu! Kabla ya hapo ilikuwa 142,000!
Explora ni ghali kwenye kuinunua na wala haihusiani na bei za vifurushi!

190.000/. acha ubishi.
 
Acha hizo!
Premium ni TZS 165,000/- kwa Ving'amuzi vyote vya DSTV kuanzia April mwaka huu! Kabla ya hapo ilikuwa 142,000!
Explora ni ghali kwenye kuinunua na wala haihusiani na bei za vifurushi!

Wewe explora huna na ndio maana hujui. Sasa kwa taarifa yako wakati kabla bei haijapanda premium kwenye explora tulikuwa tunalipa 159000 baada ya bei kupanda sasa hivi premium kwenye explora ni 188000.
 
Ni ujinga kulipia laki na 60 kisa mpira au movie. Mie tv naangalia habari tu

Siyo ujinga bali kupanga ni kuchagua! Afadhali kuangalia mpira kwa gharama kuliko kwenda jehanamu kwa gharama kubwa zaidi! Yaani ulevi, ufuska nk.
 
Mkuu Maxence Melo,

Asante sana kwa msaada. Kwa mwendo huu dola itatumaliza!

Kada wa CCM kwa nini unalalamika hivi wakati nchi yetu ina luninga ya taifa?

Au luninga yetu ya taifa ilizinduliwa kwa ajili ya kuonesha tu sherehe za maadhimisho ya uhuru, muungano au vikao vya bunge n.k...

Wenzetu huko mbele luninga zao za taifa zinakuwa na mambo kibao kibao kwani zinakuwa hata na channels 10+, hapo kila channel na category yake...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wabongo wengi wanadhani DSTV ni mpira tu! Laiti wangejua kuwa DSTV ni zaidi hapo basi watatambua kuwa AZAM kwa DSTV ni kama kumfananisha Chanongo na Lionel Messi.
 
Decoder ya kawaida ya dstv inauzwa 139,000/- ila Explora kinauzwa 410,000/- ambacho kiatofautiana na cha kwanza kwa malipo ya mwezi na packages zake sababu hiki ni High Definition channel zote.

nikusahihishe...sio channel zote ni HD.
 
DSTv naipenda kwenye mpira
Documentaries na mengine mengi
 
Explora ni aina ya Decoder ambayo ninayo. Package yake ambayo uwa nailipia tangu nimenunua ni premium. Uwa nalipia Tshs. 142,000 (bila kurekodi).

Sasa kutokana na ongezeko la bei nilitaka kujua kiasi kilicho salia ili nilipie na naamini humu kuna mtu atakuwa na ufahamu kuhusu hili.

Pia, due payment ilikuwa April 10 ila mimi nililipia April 03. Na tatizo nikaanza kuliona ilipofika April 10 la hiyo sign ya E 16-4 kwenye TV.

kaka mbona kama hutaki tu kuelewa ushajibiwa apo juu explore sio kifurushi iyo ni aina ya decoder, iyo 142 uliyokua unalipa ilikua ni premium package ambayo kwa sasa imeongezwa bei ni 168 kwa iyo kama bado una e16 error msg top the difference alafu reset itafunguka kudos...
 
Back
Top Bottom