jaxonwaziri
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 375
- 195
Wakuu, hiyo simu kuna mtu alikua anabofya-bofya, hatimae ujumbe ukasomeka hivyo. Hai-respond kwenye chochote. Kuizima hadi utoe betri, na kuwasha ni kwa kubonya 'Power button + Vol down/Up buttons' kwa pamoja. Na ikiwaka interface inasoma hivyo kama picha inavyoonyesha. Msaada tafadhali!