Akodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidiaVisa inategemea ni siku ngap?
Unaenda kukaa huko
Kodi chumba usikae kwa hotel
Ngoja niweke kambiAkodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidia
Mwisho kabisa ni Ticket kata ya waafrika japo utasafiri na Unga wa Oboloka wa wa Nigeria haha Ethiopia airlines iko cheap Kama 450$ each go and return ticket
Visa ya week mbili ni 100$ Kama mwezi ni 150$ mpaka miezi 3 kwa kila mtu!!
Ukiwa una shughuli maalumu inayotambulika inakuwia rahis sana kwako kupata visa maana Ma agents wa visa watakusaidia sana kwa confidence bila kuogopa kwamba utakimbia nchi wafungiwe shughuli zao au u overstay walipishwe fine!!!
Ukiwa na 7M mnaenda na kurudi Ila Kama ni mtu wa bajet sana hata 4M inatosha
Hiz hesabu ni za kukaa muda gan huko Dubai?Akodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidia
Mwisho kabisa ni Ticket kata ya waafrika japo utasafiri na Unga wa Oboloka wa wa Nigeria haha Ethiopia airlines iko cheap Kama 450$ each go and return ticket
Visa ya week mbili ni 100$ Kama mwezi ni 150$ mpaka miezi 3 kwa kila mtu!!
Ukiwa una shughuli maalumu inayotambulika inakuwia rahis sana kwako kupata visa maana Ma agents wa visa watakusaidia sana kwa confidence bila kuogopa kwamba utakimbia nchi wafungiwe shughuli zao au u overstay walipishwe fine!!!
Ukiwa na 7M mnaenda na kurudi Ila Kama ni mtu wa bajet sana hata 4M inatosha
Dubai simpleHabari wakuu,
Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3.
Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai
Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa.
Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
Booking ya Hotel au NdegeFanya booking mapema upate discount!
Na we naye kila sehemu upo umetoka jukwaa la man u umekimbilia hukuNoma sana mmejipangaje na maisha ya Dubai.
Lazima ajipoze na stori tofauti na mpira kidogo. hahahahNa we naye kila sehemu upo umetoka jukwaa la man u umekimbilia huku
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Plus, kupata chanjo ya C19 inayokubalika kuleAkodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidia
Mwisho kabisa ni Ticket kata ya waafrika japo utasafiri na Unga wa Oboloka wa wa Nigeria haha Ethiopia airlines iko cheap Kama 450$ each go and return ticket
Visa ya week mbili ni 100$ Kama mwezi ni 150$ mpaka miezi 3 kwa kila mtu!!
Ukiwa una shughuli maalumu inayotambulika inakuwia rahis sana kwako kupata visa maana Ma agents wa visa watakusaidia sana kwa confidence bila kuogopa kwamba utakimbia nchi wafungiwe shughuli zao au u overstay walipishwe fine!!!
Ukiwa na 7M mnaenda na kurudi Ila Kama ni mtu wa bajet sana hata 4M inatosha
Akodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidia
Mwisho kabisa ni Ticket kata ya waafrika japo utasafiri na Unga wa Oboloka wa wa Nigeria haha Ethiopia airlines iko cheap Kama 450$ each go and return ticket
Visa ya week mbili ni 100$ Kama mwezi ni 150$ mpaka miezi 3 kwa kila mtu!!
Ukiwa una shughuli maalumu inayotambulika inakuwia rahis sana kwako kupata visa maana Ma agents wa visa watakusaidia sana kwa confidence bila kuogopa kwamba utakimbia nchi wafungiwe shughuli zao au u overstay walipishwe fine!!!
Ukiwa na 7M mnaenda na kurudi Ila Kama ni mtu wa bajet sana hata 4M inatosha
Apande Emirates ni cheap zaidi kisha ni direct flight 5 hrs only , Ethiopia airline unazunguka
View attachment 2023572
Emirates nayoijua mimi au?Apande Emirates ni cheap zaidi kisha ni direct flight 5 hrs only , Ethiopia airline unazunguka
View attachment 2023572
Emirates salonEmirates nayoijua mimi au?