Msaada: Kwa wataalam wa Android Os

Msaada: Kwa wataalam wa Android Os

Wakuu nashukuruni kwa michango yenu ya awali lakini nimejaribu njia zote bila mafanikia, lakini suluhisho moja ambalo nimeona litasaidia sana nadhani ni kuhamia tu Opera Mini browser maana yenyewe nimeitumia kwenye page zilezile na imeperform vizuri kabisaa bila lile tattizo kujitokeza, nashukuru kwa kunifumbua kuhusu opera mini
 
Think again, one more time. You will make a difference.
 
kuna njia umenambia ya kuchange setting iwe rename file before download, mkuu hiyo iligonga mwamba, mabogenie ni washenzi sana wana rename file automatucally na kulisave mfano, mobogenie, mabogenie(2)
 
Back
Top Bottom