Msaada kwa wanasheria: Nataka kuishtaki TCRA kwa kuendelea kuifungia Jamii Forums

PERAMIHO YETU 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2025
Posts
336
Reaction score
675
Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado.

Sasa kama JamiiForums ilitimiza hukumu na sisi Wanajamiiforums, TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna uvunjwaji wa sheria hapa.

Hivyo naomba msaada wa kishera juu ya hili kama member wa jamii forums ambaye nanyimwa Uhuru wa habari

Asanten sana
 
Hata ningekua mimi ningekifungia hiki kijiwe cha umbea😅

Anyway; hivi watu washapata mishahara sisi machawa tukajipendekeze
 
Mihimili yote kuanzia mahakama, bunge haipo huru ipo chini ya rais yeye ndo top say unategemea nini hapo!, labda zingekuwa mahakama za nje sio zetu uchwara hizi.
 
Labda The Hague, kwa Masatu usijisumbue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…